RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiuliza mawasili wakati alipotembelea Kiwanda cha Mwani cha Furahia Wanawe Paje wakati wa ziara
yake katika Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar
na Mwenyeklit Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza
Mjasiriamali wa utengenezaji wa Tomato Ndg.Khamis Seif Ali (Kidume) wakati
akitembelea mabanda ya maoneshi ya Wajasiriamali wa Wilaya ya Kusini Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kusini
Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Bi, Nasra Juma Mwalim wa Kikundi cha Shauri Moja cha Muyuni C
Unguja, wakati akitembelea maonesho hayo ya Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini
Unguja yaliofanyika katika viwanja vya mpira Paje.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Chuo
cha Mafunzo ya Amali Kisongo Makunduchi kuangalia maendeleo ya ujenzi huo akiwa
na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, wakati
wa ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu) WAZEE wa Kijiji
cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akiwahutubia wakati alipotembelea eneo linalotarajiwa kujengwa bandari
Kizimkazi, akiwa katika ziara yake.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa
Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza lka Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na
Wananchi alipotembelea eneo linalotarajiwa kujengwa bandari, akiwa katika ziara
yake Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...