
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mashine ya Maji Mtule katika mradi wa Maji Kijiji cha Kitogani Muungoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Mhe.Rashid Makame Shamsi alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid (kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...