TUNU ORGANIC PRODUCTS yawaasa wananichi kutembelea banda lao lililopo ndani ya Banda la SIDO katika maonesho ya 45 ya biashara katika viwanja vya sabasaba kwaajili ya kujipatia bidhaa mbalimbali za urembo ambazo ni asili ya mimea na zenye ubora katika 

Akizungumza na Michuzi Blog Shamsa Danga amsema kuwa bidhaa zao ni bidhaa halisi na nzuri kwa matumizi kwa watu wenye ngozi ya aina zote.

Amesema kuwa bidhaa zao zinatengenezwa kwa ustadi mkubwa na usafi wa hali ya juu.

Amesema licha ya kutengeneza bidhaa za urembo pia wanakamua mafuta ya mbegu za ubuyu, mbegu za maboga, mbegu za nyonyo, mbegu za mise au Mbosa au Mbese, mbegu za Mlonge, mafuta ya Parachichi pamoja na mafuta ya Nazi.

Shamsa amesema kuwa bidhaa zao zinatengenezwa Tanga lakini zimeshaanza kusambazwa mikoa yote ya Tanzania.

Amesema kwa msimu wa sikukuu ya Sabasaba wanapatikana katika banda la SIDO. Anawakaribisha kuzipatia bidhaa mbalimbali asili.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nao kwa namba 0628145441 au 0628844686 au kwa email ; shamsadangachee@gmail.com






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...