Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Daraja la Kwanza ya Wanawake (WFDL) 2021, Jacqueline Joseph wa Ilala Queens katika fainali ya michuano hiyo iliyofanyika juzi jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake Nchini (TWFA), Somoe Ng'itu na kulia ni Mkurugenzi wa Shule za Fountain Gate, Japhet Makau. PICHA: MPIGAPICHA WETU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...