Meneja wa Chapa wa Zantel, David Maisori akizungumza wakati wa semina kwa wasanii wa muziki visiwani Zanzibar.Tukio hilo ni sehemu ya maandalizi ya tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika siku ya Agosti 21 katika Viwanja vya Amani Zanzibar.

2.Wasanii mbalimbali wa muziki kutoka Zanzibar, wakifuatilia kwa umakini semina maalumu juu ya namna bora ya kukuza vipaji vya muziki visiwani humo.Semina hiyo ni sehemu ya Tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika Agosti 21, katika Viwanja vya Amani Zanzibar.

.Msaanii wa muziki kutoka kundi la Wasafi, Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa semina kwa wasanii wa muziki visiwani Zanzibar.Semina hiyo ni sehemu ya maandalizi ya tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika Agosti 21, katika viwanja vya Amani Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...