Katika mikakati mbalimbali ya kukuza uchumi wa blue leo benki ya CRDB imeingia makubaliano na kampuni ya bima ya Zanzibar (ZIC) ya kutoa huduma za uwakala wa bima katika miradi yote ya kimkakati inayotekelezwa Zanzibar. Makubaliano hayo yatahusisha pia utoaji wa Elimu ya bima kwa wakandarasi na idara zote za serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.pichani, Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya CRDB, Bi. Moureen Majaliwa na Mkurugeni Mtendaji wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC), Arafat Haji wakionyesha hati za makubaliano hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...