IKIWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani akiwa amehudhuria Kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Zambia, Hakainde Hichilema hawa hapa nchi marais waliowahi kuongoza nchi ya Zambia huku wakipokezana kijiti kutoka chama kimoja hadi kingine.
Mpigania wa Uhuru wa Chama cha United National Independence, Rais Kenneth Kaunda ambaye alifariki dunia Juni 17,2021 Rais Hakainde Hichilema ni Rais wa pili kushika nafasi ya kuongoza nchi ya Zambia wakitokea chama cha United National Independence.
Rais Hakainde Hichilema ameapishwa leo huku akiwa amemuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Edger Lungu akitokea chama cha Movement for Multiparty Democracy.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...