KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee, leo amefanya Kikao kazi cha Wakuu wa Divisheni, Wakuu wa Vitengo na Sehemu wa Makao Makuu ya Magereza, Msalato Dodoma. Kikao hicho kimejadili Mambo mbalimbali kuhusiana na Uendeshaji wa Jeshi hilo.
Baadhi ya Wakuu wa Divisheni, Wakuu wa Vitengo na Sehemu wa Makao Makuu ya Magereza wakifuatilia kikao kazi hicho kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, Msalato Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...