Wakala wa kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Shireti Mayao akimpa maelekezo mkazi wa Dar es Salaam juu ya kampeni mpya ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli. Vodacom Tanzania Plc hivi karibuni walizindua kampeni ya Kimbiza na 4G ya Ukweli yenye lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma inazotoa kwa wateja wake.
Wakala wa kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Emmanuel George akimpa maelekezo mkazi wa Dar es Salaam juu ya kampeni mpya ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli. Vodacom Tanzania Plc hivi karibuni walizindua kampeni ya Kimbiza na 4G ya Ukweli yenye lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma inazotoa kwa wateja wake.
Wacheza shoo wakitumbuiza wakati wa kampeini ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc hivi karibuni walizindua kampeni ya Kimbiza na 4G ya Ukweli yenye lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma inazotoa kwa wateja wake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...