Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika Mkutano wa pamoja na Katibu wa Bunge (hayupo kwenye picha) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021



Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bi. Jane Kajiru akiwasilisha taarifa ya Maendeleo ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa Mkutano wa pamoja uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021



Mwenyekiti wa TUGHE Ofisi ya Bunge, Bw. Chacha Nyakega akitolea ufafanuzi maswali mbalimbali yaliyoulizwa na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa Mkutano wa pamoja uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021



Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi (katikati) akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa Mkutano wa pamoja uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021, Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bi. Jane Kajiru na Mwenyekiti wa TUGHE Ofisi ya Bunge, Bw. Chacha Nyakega


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...