Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita juu ya daraja la Koga kwenye mpaka wa mikoa ya Tabora na Katavi wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya Tabora – Mpanda na daraja hilo, Agosti 27, 2021. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Batilda Burian. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizingumza na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Batilda Burian (kulia) na
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwananvua Mrindoko (katikati) wakati alipowasili
kweye daraja la Koga linalotenganisha mikoa hiyo kukagua daraja hilo
ambalo ujenzi wake umekamilika, Agosti 27, 2021. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Muonekano wa Daraja la Koga kwenye mpaka wa mkoa wa Tabora na Katavi ambalo ujenzi wake umekamilika na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alilikagua , Agosti 27, 2021. Kushoto ni daraja la zamani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa Mkoa wa Katavi baada ya kukagua ujenzi wa daraja la mto Koga kwenye mpaka wa Mikoa ya Tabora na Katavi, Agosti 26, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...