Waziri wa Madini Bw Dotto Biteko (Katikati) akikabidhi cheti cha ushiriki wa Maonesho ya Biashara na Madini kwa Kaimu Meneja wa Benki ya Exim tawi la Shinyanga Bi Sarah Tito ikiwa ni ishara ya kutambua mchango na ushiriki wa benki hiyo kwenye maonesho hayo yaliyohitimishwa hivi karibuni mkoani Shinyanga. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati (kushoto) na Mwenyekiti wa Tume ya Madini Tanzania Prof Idris Kikula.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...