Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano wa 41 wa
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
(SADC) uliomalizika leo tarehe 18 Agosti katika ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Bingu uliopo Jijini Lilongwe nchini Malawi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangangwa pamoja Mwenyekiti wa SADC Rais wa Malawi Mhe. Lazarus McCathy Chakwera wakati wakitoka kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu uliopo Jijini Lilongwe nchini Malawi mara ya Mkutano huo leo 18 Agosti,2021. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...