Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein
Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa  Heshima
 Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati) wakati
 alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo akiwepo na Mratibu 
wake  hapa Zanzibar  Mhe.Ibrahim Rara.[Picha na Ikulu] 25/08/2021
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akiwa katika mazungumzo na 
Mwakilishi wa  Heshima wa Tanzania katika Jamhuri  ya Slovakia 
Bw.Mustafa Khataw  wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha
 leo.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimskiliza Mwakilishi
 wa  Heshima wa Tanzania katika Jamhuri  ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw  
wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha 
leo.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.


 
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...