Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
 wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati) akisisitiza 
jambo wakati alipokuwa  akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar 
Istiqama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum
 Mohamed Salum(wa tatu kushoto)  ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa 
ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...