MBUNGE wa Chalinze (CCM,) Ridhiwani Kikwete ameshiriki mkutano wa Halmashauri ya CCM wilaya ya Bagamoyo, uliofanyika Chalinze, Bagamoyo uliokuwa una pokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Ccm katika kipindi cha Miezi 6 ya mwaka.

Ridhiwani alisema CCM ni chama imara hivyo waendelee kusimamia utekelezaji wa ilani kwa maslahi ya jamii.

Alielezea,wananchi wanahitaji kuona chama kinatekeleza ilani hiyo kwa kutatua changamoto na kero zao.

Naye mwenyekiti wa CCM Bagamoyo alhaj Abdul Sharif alisema wanatekeleza ilani kwa vitendo na kuwaasa wana CCM kuendelea kushikamana, kuwa na upendo na kuepuka makundi .

Alisema ,endapo watashirikiana kwa umoja kukisemea chama kitazidi kuimarika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...