Safari ya Kuvutia ndani ya Circus Fever Deluxe
Stadi za wacheza sarakasi ikiwa ni sambamba na uwezo wa wanyama, siku
zote imekuwa ni safari ya kuvutia kwa wanasarakasi.
Huu ni mchezo ambao unapatika kwenye Kasino ya Meridianbet pekee. Inamithili ya mazingirza yanayokuonesha upekee wa kuangalia
michezo ya sarakasi inayojumuisha watu na wanyama. Kuna watani kwenye kila kona
ikiwa ni sambamba na kikundi ambacho kipo tayari kuingia uwanjani na kunogesha
zaidi mchezo.
Unaweza kuicheza sloti hii bure au kwa pesa halisi kwenye Kasino ya Meridianbet. Tunashauri uanze na mchezo wa majaribio kwanza kwasababu sio sloti
ambayo imezoeleka kwa wachezaji.
Safari
ya Kibingwa na Hatari
Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mchezo maalumu unaoitwa Plinko pamoja na
michezo miwili ya bonasi – kugeuza kete na sarafu. Ni mchezo ambao haujazoeleka
kwenye sloti. Hautokuta reels kwenye mchezo huu lakini utakuta vikwazo ambavyo
mpira lazima uvipita ili ufike kwenye sehemu zenye namba. Ni mchezo ambao upo
katikati ya sloti ya mtandaoni na mashine ya kurusha mipira, huku mcheza
sarakati ndio nafasi kubwa.
Kwenye mchezo wa Plinko, mchezaji anaweza kubashiri kwenye namba 1 kati ya 5. Namba hizo ni
1,2,4,6 na 9. Unaanza kwa kuweka thamani ya chip kuanzia upande wa kulia wa
sloti. Ongeza ubashiri kufikia kiwango unachohitaji na kisha bonyeza kitufe cha
cheza “play”. Jokeri litaangusha mpira kutoka mdomoni mwake, lakini kabla ya
hilo kutokea, hizo nafasi mbili za chini, zitachagua chip na kizidishio bila
kupanga. Kama unabahati ya mpira kupita kwenye vikwazo na kuifikia nafasi hiyo,
utabiri wako utazidishwa mpaka mara 20x ya dau lako.
Utapata malipo kama mpira utatua kwenye eneo linalotakiwa. Pia, kuna
kofia za maajabu. Kofia ya rangi nyekundu ni kwaajili ya mchezo wa kete wakati
ile ya rangi ya zambarau ni kwaajili ya bonasi ya mzunguko wa kugeuza sarafu.
Mizunguko Miwili ya Bonasi Kabambe
Kama ilivyoelezwa, utaona kofia mbili za maajabu ambazo zinatumika
kwenye michezo miwili ya bonasi. Kama mpira utaangukia kwenye kofia nyekundu, utaingia kwenye mchezo wa kete.
Kama jina linavyoelekeza, bonasi ya mzunguko wa kete inaanza na kete
mbili zinazozunguka na meza inayoonesha malipo. Bonyeza kitufe cha zungusha
“roll button” unapokuwa tayari na kete itaanza kuzunguka ikionesha namba, Uwezekano wa malipo unatokea kati ya 2x na 50x ya dau lako, hii ni bonasi inayovutia.
Mzunguko wa pili wa bonasi unaitwa Geuza Sarafu. Inapatikana pale ambapo mpira utaanguka kwenye kofia ya zambarau. Huu ni mzunguko mrahisi wa bonasi ambao unazungusha sarafu na unasloti
mbili. Malipo yanatokea kwenye pande zote mbili za sarafu, unapata ambacho
kinasadifu kilichotokea kwenye sarafu. Uwezekano wa malipo ni chini kidogo ya yale ya kwenye bonasi ya kete, yanatokea kati ya x2 na x30 ya dau lako.
Safari Kabambe Kwenye Sarakasi
Hakukua na matoleo mengi yenye mithili ya sarakasi kwa siku nyingi,
lakini Circus Fever Deluxe kutoka Studio za Exapanse ni mchezo wa kipekee. Unapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet kwa bure au kwa pesa halisi, ni mchezo ambao unapaswa kuujaribu.
Utafurahia muonekano wa kipekee wenye zawadi kabambe. Ukiwa na bahati,
unaweza kupata faida kubwa kwenye Plinko na kufurahia
zawadi kedekede ambazo zinaweza kukupa faida maradufu.
Hii safi sana jamani
ReplyDelete