Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Mkuranga ,Mhe.Abdallah Ulega
akizungumza leo na vijana wa Jogging kutoka
maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo baada ya kumaliza kushiriki Jogging.Mhe Ulega amewaomba vijana wa wilaya hiyo kuchangamkia fursa ya mikopo inayotolewa
na Halmashauri
ya Wilaya ya Mkuranga ambayo haina riba,amesema mikopo hiyo itawasaidia kujikwamua kiuchumi na kuongeza
pato la Taifa.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake Wilaya ya Mkuranga,Mariam Ulega akiwa miminia uji vijana Jogging kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...