Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzbar Mhe. Othman Masoud Othman (kulia) , akimkaribisha ofisini kwake Migombani jana Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi. Balozi huyo alifika Ofisini kwa makamu Migombani mjini zanzibar jana kufanya naye mazungumzo kuhusiana na masuala mbalimbali.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, (kulia) akizungumza na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi. Mazungumzo hayo yalifanyika jana Ofisini kwa Makamu Migombani Mjini Zanzibar.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, (kulia) akisisitiza jambo alipozungunza na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi. Mazungumzo hayo yalifanyika jana Ofisini kwa Makamui Migombani Mjini Zanzibar (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...