Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, wakati wa kikao cha Mawaziri wa Fedha na Uchumi Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu masuala mbalimbali ya Jumuiya hiyo, kilichofanyika kwa njia ya mtandao, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, wakati wa kikao cha Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu masuala mbalimbali ya Jumuiya hiyo, kilichofanyika kwa njia ya mtandao, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa kikao cha Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichojadili masuala mbalimbali ya Jumuiya hiyo, kilichofanyika kwa njia ya mtandao, jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - WFM)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...