*Bashiri na Meridianbet, Uwe Miongoni mwa Wanafamilia Ya Mabingwa

NI mzungo wa pili kunako hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa – Uefa. Safari ya kufuzu hatua ya 16 Bora huanzia kwenye hatua hii, nani atajiweka kwenye nafasi nzuri zaidi?

FC Porto kuchuana na Liverpool. Timu hizi zinahistoria ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa. Kwa miaka 10 ambayo timu hizi zimeshakutana, Liverpool wameshinda mara 5, Porto wameshinda mara 1 na wametoka sare mara 3. Hii ni jumla ya michezo 9 waliyokutana ndani ya miaka 10. Jumanne hii itakuaje? Ifuate Odds ya 1.80 kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

Umwamba wa pesa, sasa kuwekwa kwenye umwamba wa soka ndani ya uwanja. Ni PSG vs Manchester City. Pochettino vs Guardiola, hapa Kylian Mbappe, kule Phil Foden. Huu ni mchezo ambao Messi anakwenda kukutana na klabu aliyohusishwa nayo kabla ya kuichagua PSG. Hizi ni timu ambazo zinamachungu na mashindano ya Uefa. Zote zimefika fainali lakini zimeshindwa kutwaa ubingwa, msimu huu itakuaje? Odds ya 2.35 ipo kwa City kupitia Meridianbet.

Juventus kuwaalika Chelsea katika mchezo wa kundi H. Juve ataingia uwanjani akiwa ametoka kushinda mchezo wa Serie A huku The Blues wakiwa na maumivu ya kupoteza mchezo wa kwanza kwenye EPL. Hakika, maumivu kupambana na motisha, dakika 90 zitaamua. Chelsea amepatiwa Odds ya 2.00 ukibashiri na Meridianbet.

Kwenye Europa League alhamisi hii, Ludogorets kuchuana na Crvena Zvezda. Katika michezo 2 waliyokutana awali, Ludogorets ameshinda mara 1 na wametoka sare mara 1. Ifuate Odds ya 2.55 kwa Zvezda ndani ya Meridianbet.

Tengeneza faida kwa kuwafuata Chelsea, Zvezda, City na Liverpool ndani ya Meridianbet!

Tengeneza mkeka wa kibingwa kupitia michezo ya Ligi ya Mabingwa wiki hii, bofya hapa https://mrdn.co/bashiri9 au piga *149*10# kubashiri na Meridianbet! #Uefa #Europa #MsimuMpya #VibeJipya #Meridianbettz 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...