Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akiangalia nguvu ya maji wakati alipotembelea mradi wa maji Makonde uliopo Newala mkoani Mtwara.(Picha na CCM Makao Makuu)


Meneja Mradi wa Maji Makonde Mhandisi Emmanuel Komkom akitoa maelezo ya changamoto za mitambo ya kuvuta maji kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme katika kituo cha kupokelea maji yanayotoka kwenye chanzo cha maji Mkunya wilayani Newala Mkoa wa Mtwara, ikiwa siku ya pili ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...