Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Hisham Hendi akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya teknolojia na mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Hisham Hendi akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya teknolojia na mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Hisham Hendi akiwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi wa Mawasiliano Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia akiwa akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati alipotembelea kampuni hiyo ya mawasiliano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...