RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule, Ikulu Mkoani Dodoma Septemba 13, 2021.
Viongozi wanaoapishwa ni:
Mhe. Dkt. STERGOMENA LAWRENCE TAX (Mb), kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
2. Mhe. Dkt. ASHATU KACHWAMBA KIJAJI (Mb), kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
3. Mhe. JANUARY YUSUF MAKAMBA (Mb), kuwa Waziri wa Nishati.
4. Mhe. Prof. MAKAME MNYAA MBARAWA (Mb), kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.
5. Amemteua Dkt. ELIEZER MBUKI FELESHI, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...