Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO), Barbara Gonzalez akisaini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu Zacharia Hans Poppe katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.







Baadhi ya wananchi wakiwepo wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, menejimenti ya Simba na mashabiki wakisaini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu Zacharia Hans Poppe katika viwanja vya Karimjee. 
















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...