Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)Prof. Mohamed Janabi akitoa mada juu ya ugonjwa wa Corona kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la chanjo ya ugonjwa huo ambayo kampuni iliandaa kwa ajili ya wafanyakazi wake.

Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Flora Munuo akiuliza swali wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)Prof. Mohamed Janabi akitoa mada juu ya ugonjwa wa Corona kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Edward Nyanza akiuliza swali wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)Prof. Mohamed Janabi akitoa mada juu ya ugonjwa wa Corona kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...