Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia), wakati balozi huyo alipofika kwa mazungumzo leo, Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia),akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene wakati balozi huyo alipofika kwa mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia),baada ya kumaliza mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (wanne kulia),baada ya kumaliza mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Wengine ni wasaidizi wa Balozi na Maofisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...