Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said amezindua huduma za mawasiliano ya 4G ya TTCL Corporation Mkoa wa Kusini, Zanzibar jana Septemba 8, 2021, katika hafla iliyofanyika Tunguu kwenye Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kusini, Zanzibar. #@TTCL Rudi Nyumbani Kumenoga #

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...