Na Mwandishi Wetu, Paris
KATIKA jitihada za Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa kukitangaza na kuisamba lugha ya Kiswahili, Ubalozi wa Tanzania,Paris kwa kushirikiana na Chama cha Watanzania Ufaransa (CCWU), wataanza kutoa mafunzo ya lugha ya Kiswahili kwa mwaka wa masomo 2021/2022,ambayo yataendeshwa na Kituo cha Utamaduni na Lugha cha Kitanzania (CCLT).
Kituo hicho kina timu ya Walimu kama inavyoonekana pichani juu,ambayo imeundwa na Watanzania kutoka jumuiya ya Watanzaia (Tanzania Diaspora) na kwa kuanzia jumla ya raia 10 wa Ufaransa wako tayari kuanza mafunzo hayo yanayoanza rasmi tarehe 9 Septemba 2021.
Ubalozi umeshatenga eneo litakalotumika katika mafunzo hayo yatakayokuwa yanatolewa jioni baada ya muda wa kazi kwa siku za Alhamis na Jumamos.
Home
HABARI
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA, CCWU KUANZA KUTOA MAFUNZO YA LUGHA YA KISWAHILI MWAKA WA MASOMO 2921/22
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...