*Tengeneneza Mkeka Wako Kupitia Meridianbet!

SASA ni rasmi, Chelsea kuliweka mezani kombe la Ligi ya Mabingwa na kuianza safari ya kulitetea. Ataweza au miamba mingine ya Ulaya italitwaa? Safari ya mabingwa inaanza hivi;

FC Barcelona kuwaalika Bayern Munich katika mchezo wa kwanza wa Kundi E. Barca hii ni muoenekano mpya wa kikosi ambacho hakina Lionel Messi, shujaa wao aliyetwaa tuzo 6 za Balon d’Or akiwa na Barcelona. Bayern nao wataingia wakiwa na machungu ya kupoteza ubingwa msimu uliopita. Hakika, ni burudani ya kibingwa. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.10 kwa Bayern.

Young Boys watakua uwanjani kuwaalika Manchester United kule Switzerland. CR7 ndani ya kikosi cha The Red Devils, akiipeperusha bendera nyekundu kwa mara ya pili baada ya miaka 12. Ifuate Odds ya 1.37 kwa United ndani ya Meridianbet.

 

Jumatano, Atletico Madrid watawaalika FC Porto ndani ya Wanda Metropolitano katika mchezo wa Kundi B. Timu zote zinahistoria nzuri na mashindano haya na lolote linaweza kutokea ndani ya uwanja. Odds ya 1.70 kwa Atletico inakusubiri ndani ya Meridianbet.

Liverpool watakua Anfield kumualika Zlatan Ibrahimovic na wenzake wa AC Milan. Sasa hii ndio vita ya watu wazima, timu hizi ni miongoni mwa miamba ya soka la Ulaya. Mpira wa kistaarabu lakini upinzani wake ni mkali sana! Kupitia Meridianbet, ifuate Odds ya 1.53 kwa Liverpool.

Alhamisi kutapigwa mchezo wa Ligi ya Europa. Crvena Zvezds vs Braga kunogesha siku yako. Ifuate Odds ya 2.40 kwa Zvezda ndani ya Meridianbet.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...