WAKUU wa Magereza Mikoa, Wakuu wa Vituo vya Magereza pamoja na Wakuu wa Kambi za Magereza leo katika kikao kazi jijini Dodoma wamempongeza Kamishna Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee (pichani) kwa ubunifu wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kuliwezesha Jeshi hilo kujitegemea.
Baadhi ya wakuu wa Magereza mikoa, wakuu wa vituo na Kambi za Magereza wakifuatilia kikao kazi hicho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...