Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kushoto), akila chakula katika Gereza la Maweni wakati wa Ziara ya Kutembelea Gereza hilo na kuzungumza na wafungwa na mahabusu. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga,Hashim Mgandilwa.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(katikati mstari wa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na  Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Tanga  wakati alipotembelea Gereza la Maweni na  kuzungumza na wafungwa na mahabusu.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo,akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakati alipotembelea Gereza la Maweni na  kuzungumza na wafungwa na mahabusu.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo,akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakati alipotembelea Gereza la Maweni na  kuzungumza na wafungwa na mahabusu.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga, Kanali Sulumbu akimuonyesha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kushoto) jiwe la Mpaka wa Horohoro unaotenganisha nchi ya Tanzania na Kenya wakati wa ziara iliyoifanyika leo mkoani Tanga.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...