Mashindano ya SHIMIWI chini ya UDHAMINI wa AGRICOM AFRICA LTD yamefanyika Leo mkoani Morogoro huku waendesha basikeli kutokea wizara ya ujenzi wakitia fora.Agricom Africa Ltd wanawapongeza washiriki wote.


Mashindano ya baiskeli ya SHIMIWI Chini ya UDHAMINI wa AGRICOM AFRICA LTD yakikamilika eneo la mafiga Morogoro, huku washiriki kutoka timu ya Uchukuzi waking'ara.

Pia OFA maalumu Kwa wateja wa Agricom Africa Kwa zana mbalimbali na vipuri halisi inaendelea Katika kipindi hiki cha mashindano,#shambapesa #AgricomshimiwiMorogoro2021 #agricomshimiwi2021

Mashindano ya SHIMIWI chini ya UDHAMINI wa AGRICOM AFRICA LTD yamefanyika Leo mkoani Morogoro huku waendesha baiskeli kutokea wizara ya ujenzi wakitia fora,Agricom Africa Ltd wanawapongeza washiki wote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...