Mhe. Elsie S. Kanza, Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akiwasili rasmi Mjini Washington D.C kwenye picha akipokewa na Bi. Jean Msabila aliyekua Kaimu Balozi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles.
Mhe. Elsie S. Kanza, Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani na Mexico awasili rasmi Mjini Washington D.C, kushoto ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Kanali Festusi J. Mang'wela na kulia ni Bi. Jean Msabila aliyekua Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico
Picha ya pamoja
Watumishi wa Tanzania House wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Elsie S.Kanza
Kushoto ni Bi Sophia V. Gunda, Mwambata Uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani akiwa katika picha na Mhe. Balozi Elsie S.Kanza siku alipowasili Washington, D.C.
Baadhi ya waatumishi wa Tanzania House wakiwa na Mhe. Balozi Elsie S.Kanza mara tu alipowasili Washington, D.C.
Mhe. Balozi Elsie S.Kanza alisalimiana na watumishi wa Tanzania house.
Mhe. Balozi Elsie S. Kanza akikaribishwa rasmi Tanzania house , Washington D.C na Bi. Jean A. Msabila, Afisa Ubalozi

Mhe. Balozi Elsie Kanza , akipata maelezo mafupi kuhusu kituo chake kipya cha kazi kutoka Bi. Jean A. Msabila, aliyekua Kaimu Balozi akiwa pamoja na wajumbe wengine wa menejimenti ya Ubalozi.
Mhe. Balozi Elsie Kanza , akipata maelezo mafupi kuhusu kituo chake kipya cha kazi kutoka Menejimenti ya Ubalozi.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...