Keki maalum iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Kariakoo - Narung’ombe Jijini Dar es Salaam ikiwa imeandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Kanda ya Pwani, George Yatera akizungumza na wateja wa Benki hiyo hawapo (pichani) katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja leo jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Kariakoo - Narung’ombe,Hollo Buyamba(kushoto) akikata keki hiyo maalum kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja,huku akiangaliwa na Baadhi ya wateja wa Benki hiyo.leo jijini jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Kariakoo - Narung’ombe,Hollo Buyamba akimlisha keki Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Kanda ya Pwani, George Yatera leo jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Kariakoo - Narung’ombe,Hollo Buyamba (akiwalisha keki baadhi ya wateja wa Benki hiyo waliofika kupata huduma katika tawi lake kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja leo jinini Dar es Salaam.
"Happy Customer Service week......."
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...