Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega (katikati) leo ameshiriki mbio za pole pole Jogging na vijana wa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Mkuranga na mkoa wa Dar es Salaam.kushoto ni Diwani wa kata ya Vikindu Mohammed Maundu. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega (wa kwanza kuli) akishiriki mazowezi baada ya kumaliza kukimbia mbio za pole pole Jogging na vijana wa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Mkuranga na mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu Vikindu wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega akiwa katika picha ya pamoja na vikundu vya Jogging mara maada ya kumaliza kushiriki mazowezi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu Vikindu wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)
Mazowezi yakiendelea.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...