Eneo kubwa la kutoa huduma ya vyakula, vinywaji, burudani, na mapumziko ya jioni; lenye upepo mwanana unaotoka bahari ya Hindi linakodishwa. Eneo ni kubwa lenye sehemu ya kuweka jiko la kisasa, Bar, lounge pamoja na maeneo ya kufanyia mazungumzo ya kibiashara.
0712 054 327
0713 465 336
0713 27 2202
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...