KAMPUNI ya simu Infinix kuja kuzipinga kampuni za simu ambazo zinauza simu kwa gharama ya juu kwa kusingizia teknolojia ya feature Fulani katika simu hiyo.

Inasemekana kampuni ya simu Infinix kuja na Infinix NOTE 11 ikiwa na 6.7AMOLED screen kwa bei isiyozidi 480,000tsh.

Kampuni ya Infinix kupitia bidhaa zake imekuwa ikihidhira ukubwa wake katika soko la simu, Infinix kwa mara ya kwanza ilitambulisha simu yake ya kwanza kutumia kioo aina ya AMOLED Infinix zero x pro na kwa fununua ziliopo sasa mitandaoni Infinix NOTE 11 kuja na sifa hizi ambazo hazijawai kuonekana kwenye simu za series ya NOTE

Sifa za kioo cha AMOLED ya NOTE 11
chenye kusifika kutokana na ulaji mdogo wa chaji ukilinganisha na vioo vyengine kama IPS.

Smooth/ kinateleza kwa haraka wakati wa kuperuzi.
Rangi za picha zinazotokana na simu yenye kioo cha AMOLED hushabihiana na mazingira halisi.

Sifa nyengine ni kuhusu muonekano wa simu hiyo, inasemekana Infinix NOTE 11 kuja kuwa simu ya kwanza yenye umbo jembamba zaidi lililotawaliwa na wigo mpana wa kioo cha inch 6.7fhd kuwahi kuwepo kwenye series ya NOTE.

Hizi ni baadhi ya dondoo ambazo zimeonekana kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali ya tech kama Tanzaniatech na nyenginezo. Je unaisi ni feature gani nyengine mpya kuja na Note 11 https://bit.ly/3BHedZw?

Tafadhali kaa karibu na @infinixmobiletz kujua zaidi kuhusu simu hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...