KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009
Tunamuomba
Baba Mungu atuwezeshe tuyaendeleze na
kuyaenzi mema yote uliyotufundisha na tuyaendeleze kwa vizazi vyetu vijavyo. MAMA,
daima tutaendelea kujivunia zawadi tuliyopewa na Baba Mungu ya maisha
yako kwetu sisi kwa maana uliyagusa maisha yetu kwa njia ya
pekee sana Mama.
Unakumbukwa daima na mume wako mpenzi Mzee Lawrence Shelukindo Saguti, watoto, wakwe na wakamwana, wajukuu na vilembwe
...........Tunaendelea
kusimama imara na neno na tukimsifu Mungu tukiimba:
Amini Bwana awapenda,
Amini,atawabariki, Atawahurumia wote, wamjiao yeye.
Kweli tutaona furaha, Tukifika kwenye Raha kuu, Tukisafishwa mioyo yetu na Yesu
Mwokozi.
Endelea kupumzika kwa amani MAMA!
AMEN
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...