Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla(wakwanza kushoto)akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar Ghanima Othman Juma wakati alipotembelea Banda lao katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla akiwapungia Mkono Wazee na Wageni waalikwa waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”.



Baadhi ya Wazee na Wageni waalikwa waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”.



Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...