Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Gereza la Liwale, Gilbert Sindani (kulia) wakati alipokagua ujenzi wa gereza na nyumba za makazi ya askari akiwa katika ziara ya mkoa wa Lindi, Oktoba 7, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Gereza la Liwale, Gilbert Sindani (kushoto) wakati alipokagua ujenzi wa gereza na nyumba za makazi ya askari akiwa katika ziara ya mkoa wwa Lindi, Oktoba 7, 2021. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...