Mfumo Mpya wa Kubashiri, Ofa za Michezo Pamoja na Jakipoti Kubwa
za Kasino.
Kama
kampuni kubwa ya michezo ya kubashiri duniani, ikiwa inafanya kazi kwenye
mabara manne, Meridian Gaming itashiri maonesho makubwa duniani – Global
Gaming Expo 2021 kule Las Vegas,
Marekani. Michezo mipya, mawazo mapya ya michezo ya kubashiri na mengine mengi,
yameshawekwa tayari kuwasilishwa kwenye hadhira ya wanamichezo wa Marekani.
Titan
Roulette Deluxe na Circus Fever Deluxe ni michezo mipya kwenye kasino ya Meridian na itaonekana kwenye maonesho
ya Las Vegas. Tayari ni michezo inayoongoza kwa kupendwa duniani kutokana na
upekee wake pamoja na bonasi inayotolewa mara mbili.
Kwa
sasa, Kasino ya
Meridian inapambwa kwa
neno moja tu – jakipoti kubwa duniani! Tumekuwa tukitoa mamilioni ya pesa kwa
washindi na jakipoti za kasino kwa muda mrefu. Lakini, kubwa kuliko imeweka
rekodi kwenye michezo ya sloti duniani. Na pengine itaendelea kubaki hivyo.
Kwa siku za karibuni, Meridian imetoa jakipoti ya €1,129,692.15 kwenye
mchezo was loti ya Wild Crusade: Empire Treasures. Hii ni jakipoti kubwa zaidi
kuwahi kutokea kwenye soko la Ulaya.
Kwa Meridian, hii sio stori pekee. Kila siku, michezo
mipya, inayovutia inaongezeka!
Ukiongelea
michezo ya kubashiri, Meridian inavingi
vya kuonesha kwenye G2E, cha kukumbukwa zaidi ni sifa ya kutengeneza mkeka
mubashara pamoja (Live Bet Builder) na Triple Chance (nafasi tatu)
Mtandao
maridadi wa B2C na B2B katika michezo ya kubashiri na teknolojia ya michezo,
inakusubiri kukuonesha ubora wake ndani ya Las Vegas!
Miaka 20 ya Meridian Gaming kutoa burudani inayoendana na jamii
Ilianzishwa
mwaka 2001. Leo hii, Meridianbet ni kinara duniani kwenye utengenezaji na
usambazaji teknolojia ya michezo ya kubashiri na kasino za mitandaoni, inafanya
kazi kwenye zaidi ya sehemu 30 barani Ulaya, America na Africa. Ina zaidi ya
wafanyakazi 1,200 ambao ni wabobezi nah ii inaifanya kampuni kutoa huduma zenye
ubunifu, zinazovutia na zenyye uwajibikaji kwenye michezo ya kubashiri, kasino
za mitandaoni na michezo ya sloti.
Meridian
Gaming imetengeneza michezo yake ya kasino
zaidi ya 40 ambapo, michezo mingi imekua
ikifanya vizuri duniani kama vile: Titan Roulette, Titan Dice, Diamond
BlackJack, Sic Bo, Mayas Treasure, Golden HiLo, Fairy in Wonderland, Piggy
Party, Evoji, Sticky 777, Circus Fever, Crazy Horses, Meg Pixel Poker, Gem
Miner, Wild Corrida, Swipe, Keno Instant, Odd One Out, Bounty Hunters, Forrest
Rock, Titan Roulette DeLuxe, Lucky Betting Shop, Battle for the Throne, Book of
Eskimo, Circus Fever DeLuxe, Wild Icy Fruits, Book of Egypt, Capital City Derby
na michezo mingine mingi.
Kwa
uzoefu uliopo kwenye eneo la mitandaoni, Meridianbet
inazaidi ya sehemu 800 zinazofanyakazi katika soko la kubashiri. Tangu
kuanzishwa kwake, kampuni imekuwa na mahusiano mazuri na yenye tija na serikali
55 za mitaa, mamlaka za usimamizi na kuweka viwango bora vya utoaji huduma kwa
jamii. Kufuata misingi bora ya utendaji kazi ni kitu cha kwanza, kwa kuwekeza
kwenye usimamizi na uzuiaji wa vitendo vyote vinavyoweza kuleta madhara kwenye
michezo ya kubaharisha. Kampuni ni watu na watumiaji kwanza, kote – ndani na
nje ya mahusiano ya masoko.
Kubashiri Kistaarabu
Meridianbet itaendelea kusisitiza ubashiri wa kistaarabu
kwa kuongeza thamani kwenye jamii na kuheshimu haki za watumiaji. Uaminifu ni
kitu muhimu na mara nyingi hakionekani kama sehemu ya mafanikio kwenye michezo
ya kubashiri, kuwasiliana na wateja na kusikiliza mahitaji yao ni sehemu kubwa
ya utendaji kazi na maendeleo ya kampuni. Kama kinara duniani, Meridianbet inaaminiwa na wateja wake
kutokana na uwazi na kufuata sheria, kanuni na miongozo yote iliyowekwa
kiutendaji.
Tangu
kutokea kwa janga la Covid-19 na kupelekea kufungwa kwa michezo. Katika
kuendana na hali hii ngumu, Meridianbet imeendelea kuboresha huduma zake kwa mahitaji
ya wateja. Hii ni kwa kuwafundisha na kuwapa uelewa na uzoefu kwenye mambo
mbalimbali tunayofanyia kazi.
Net-Zero Carbon kufikia 2040
Kama
sehemu ya lengo la kuwa kampuni kubwa inayomtazama zaidi mteja duniani, Meridianbet imedhamiria kutengeneza mfumo endelevu wa
kibiashara kwa wafanyakazi, washirika na wateja wake. Kuelekea kwenye dunia
ambayo kiwango cha carbon kitakua 0, Meridianbet inaboresha mzunguko wake wote wa uzalishaji
kuendana na ajenda hiyo – kuanzia kwa watengenezaji mpaka kwa washirika,
wasambazaji, wafanyakazi na wadau.
Meridianbet inatengeneza mabingwa wapya – shule za michezo na kusaidia
vilabu vya mitaani.
Jezi,
vifaa vya michezo, viatu, mipira n.k ni kitu kingine ambacho ni uwekezaji kwa
jamii zijazo. Kwa ushirikiano na vilabu na mashirkisho ya michezo sehemu zote
tunapofanya kazi, Meridian
imeanzisha mradi wake jumuishi – shule za michezo bure.
Kwa
Meridianbet, hakuna kitu
kama “ndogo” na “kubwa”, mzoefu na chipukizi – mashabiki wote wa michezo
duniani wanaweza kusaidiwa na Meridianbet. Zaidi ya vilabu 50 wameshaingia
kwenye mtandao wa udhamini wa Meridian
Global mpaka sasa.
Zaidi ya $1M imechangiwa kwenye kusaidia changamoto za Covid-19 duniani.
Tangu
kumetokea janga la Covid19, Meridian
Gaming Group, moja ya kampuni
kubwa ya michezo ya kubashiri duniani, imejitolea kusaidia jamii sehemu zote
inazofanya kazi.
Kumaliza
hili, mpaka sasa Meridian
imeshachangia $1M kwenye matibabu na huduma nyingine kwa maeneo 150 barani
Ulaya, LATAM na Afrika.
Kwa
miezi 18 sasa, Meridian imeendelea
kuzisaidia hospitali za taifa na vituo vya afya, nyumba salama, vituo vya
mabadiliko, maendeleo ya jamii na taasisi mbalimbali Kusini Mashariki mwa
Ulaya, Umoja wa Ulaya, LATAM, Amerika ya Kati, Afrika na Asia.
Pia,
kampuni imeshirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) katika kusaidia utoaji
wa chanjo na mpango wa kuwasaidia wahanga wa Covid-19
Shukrani
kwa kampuni kama Meridianbet, WHO imeweza kuzisaidia nchi nyingi katika
mchakato wao wa kutoa chanjo ya Covid-19.
Nice
ReplyDelete