Robert Kadege,Meneja huduma kwa wateja, Mfukowa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) akimhudumia mmoja wa wanachama ambaye alifika katika ofisi ya NSSF Mkoa wa Pwani wakati wa wiki ya huduma kwa watejaHawa Kitogo Afisa Mafao Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Pwani akimsaidia mmoja wa wanachama kujaza fomu alipofika ofisi ya NSSF Mkoa wa Pwani kufungua madai wakati wa wiki ya huduma kwa wateja
Mahfudh Mkekena (Kushoto),Afisa Mafao, Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF, Mkoa wa Pwani akimpa elimu mmoja wa wanachama namna ya kuweza kuanza hatua za kufungua madai yake wakati wa wiki ya Huduma kwa wateja

Picha ya Pamoja
Picha ya Pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...