Mdau Salim Kambona akiwa na Mkewe mpendwa Bi Nadra Hamis wakiwa katika nyuso za furaha kabisa mara baada ya kufunga pingu za Maisha jijini Dar,Ama kwa hakika Michuzi Blog inawatakia kheri,baraka,afya njema na furaha tele katika hatua yao ya  kuianza upya safari yao ya ndoa .


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...