Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Innocent Lugha
Bashungwa (Mb) kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, katika hafla
fupi iliyofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimuapisha Mhe. Pauline Philipo Gekul (Mb) kuwa Naibu Waziri wa
Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo tarehe 24 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimuapisha Mhe. Eng. Kundo Endrea Mathew (Mb) kuwa Naibu Waziri wa
Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, leo tarehe 24 Oktoba, 2021
Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Jaji Jacob Casthom
Mwatembela Mwambengele kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, leo
tarehe 24 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimuapisha Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira kuwa Mjumbe wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 24 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu. Asina Abdallah
Omar kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 24 Oktoba,
2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Waziri
wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) wa
kwanza kulia, Naibu Waziri Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Pauline Philipo Gekul (Mb), Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na
Teknolojia ya Habari Mhe. Eng. Kundo Endrea Mathew (Mb) Mjumbe wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Jacob Casthom Mwatembela Mwambengele, Mjumbe wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira na
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu. Asina Abdallah Omar wakila
kiapo cha Maadili ya Utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Oktoba, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kumuapisha
Waziri, Naibu Mawaziri katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
pamoja na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 24 Oktoba,
2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye wakizungumza katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24
Oktoba, 2021 wakati wa Mhe. Ndayishimiye alipokua akiondoka kurejea
Nchini Burundi baada ya kukamilisha ziara yake hapa Nchini.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye
wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24
Oktoba, 2021 mara baada ya Rais huyo wa Burundi Mhe. Ndayishimiye
kuhitimisha zira yake nchini na kurejea Burundi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mke wa Rais Evareste Ndayishimiye wa Burundi kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 24 Oktoba, 2021 wakati Mhe. Ndayishimiye alipokua akiondoka
kurejea Nchini Burundi baada ya kukamilisha ziara yake leo tarehe 24
Oktoba, 2021. kulia ni Rais wa Ndayishimiye wa Burundi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Oktoba, 2021 wakati Mhe. Ndayishimiye alipokua akiondoka kurejea Nchini Burundi baada ya kukamilisha ziara yake leo tarehe 24 Oktoba, 2021. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...