Tunajua kwamba kuona picha na video za unyanyasaji wa kingono kwa mtoto ni jambo la kuumiza. Tunataka ufahamu kuwa unapotoa taarifa kwetu unachukua hatua sahihi.

Taarifa yako inaweza kumuokoa mtoto muathirika kutoka katika unyanyasaji zaidi.

Kutoa taarifa ni kwa haraka na rahisi. Unaweza kutoa taarifa bila kujulikana. Kama ungependa kujua hatima ya taarifa uliyoitoa, tutahitaji barua pepe yako.

Tafadhali kumbuka: Kama ungependa kutoa taarifa zaidi kuhusu mtoto aliyepo kwenye mazingira hatarishi au taarifa nyingine yoyote tofauti na picha au video za ukatili wa kingono, tafadhali wasiliana na dawati la polisi karibu na wewe au piga simu namba 116, Huduma kwa Mtoto.

KUTOA TAARIFA BONYEZA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...