Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Lela Mohamed Mussa, akiwaeleza Waandishi wa habari lengo la Uzinduzi wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo, huko Hoteli ya Serena iliyopo Shangani Mjini Zanzibar.
Muongozaji wa Hamasa wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) Farid Fazach, akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kuhusu Uzinduzi wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo, huko Hoteli ya Serena iliyopo Shangani Mjini Zanzibar.Baadhi ya waandishi wa habari waliyohudhuria katika Uzinduzi wa Tamasha la harusi Zanzibar (ZANZIBAR WEDDING FESTIVAL) wakati wa Uzinduzi wa Tamasha hilo, huko Hoteli ya Serena iliyopo Shangani Mjini Zanzibar.
Picha na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...