Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Suleiman Msumi akimkabidhi cheti moja ya mteja wa muda mrefu wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc Richard Swai kwa kutambua mchango wake baada ya kampuni hiyo kuzindua Vodashop pamoja na wiki ya huduma kwa wateja jijini Arusha leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja wa kampuni hiyo Harriet Lwakatare.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Suleiman Msumi akizungumza jijini Arusha wakati akizindua duka la Vodashop pamoja na wiki ya huduma kwa wateja leo, kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc. Vodacom Tanzania Plc imezindua duka hilo ikiwa ni jitihada za kuleta huduma karibu na wateja wake nchiniMkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Suleiman Msumi (katikati) akikata utepe kuzindua Duka la Vodashop na wiki ya huduma kwa wateja. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja Vodacom Tanzania Plc Harriet Lwakatare na kulia ni Zeenat Mwindi -Meneja wa duka hilo, Vodacom Tanzania inaongeza jitihada za kuhakikisha inafikisha huduma bora kwa wateja wake kote nchini.
Home
HABARI
Vodacom Tanzania Plc yafungua duka la Vodashop Arusha ikiwa ni maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...