Meneja uzalishaji wa kampuni ya bia ya Serengeti kiwanda Mwanza Rolinda Samson (wa kwanza kulia) akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Miss Kanda ya Ziwa waliotembelea kiwanda hicho jana. Kulia kwake ni Meneja Mauzo wa SBL Patrick Kisaka.
Warembo wanaoshiriki katika shindano la Miss Kanda ya Ziwa wakifuatilia mafunzo ya kuchukua tahadhari dhidi ya Covid-19 kabla ya kuanza kutembelea kiwanda cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza.
Mhandisi wa uzalishaji katika kiwanda cha cha Bia cha Serengeti tawi la Mwanza, Isaya John (Kulia) akiwapa maelezo warembo wanaoshiriki shindano la miss Kanda ya Ziwa 2021 juu ya namna bia inavyozengenezwa walipotembelea kiwanda hicho jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...