Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Elisha Kato ambaye ni Mbunifu wa Mfumo wa Kudhibiti mwendo kasi katika magari, wakati alipotembelea mabanda katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa Chato, Geita Oktoba 12, 2021. Wapili kulia ni Mbunifu Mwenza wa Mfumo huo Ronaldo Joseph

waanadamaji wakipita mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa katika uwanja wa Mazaina Chato, Geita

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwapungia waandamaji wakati alipopokea maandamano ya wananchi katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa katika uwanja wa Mazaina Chato, Geita Oktoba 12, 2021. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama na kulia ni Waziri wa nchi, afisi ya Makamu wa pili wa Rais, Sera, uratibu na Baraza la Wawakilishi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...